Kukimbizana na raha za haraka ni adui mkubwa wa mafanikio.
Kutaka kufanikiwa haraka bila kuweka kazi ni kuishia kushindwa.
Chelewesha raha na kuwa na subira.
Mambo makubwa na mazuri yanahitaji kazi na muda.
Fanya hayo mawili na mafanikio yanakuwa uhakika kwako.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita