Hufanikiwi kwa sababu unajidanganya,
Mdomoni unasema unayataka mafanikio,
Wakati moyoni unaogopa uwajibikaji unaokuja na mafanikio.
Matokeo yake moyo unashindwa na wewe kuishia kughairisha yale uliyopanga kufanya.
Kubali wajibu mkubwa wa mafanikio na utaondokana kabisa na tabia ya kughairisha mambo.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
