Wewe ni muuzaji,
Ukitaka kufanikiwa, uza mafanikio.
Kila mtu anataka kuwa bora zaidi ya alivyo sasa.
Kupitia unachofanya, angalia jinsi unavyoweza kufanya maisha ya wengine kuwa bora zaidi.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita