Kiburi hutangulia anguko,
Kiburi ni kuamini kwamba huwezi kushindwa.
Unapoamini huwezi kushindwa, hujifunzi na unafanya yanayokuzidi.
Jiamini kwamba utafanikiwa, lakini usiwe na kiburi kwamba huwezi kushindwa.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
