Huwezi kufanikiwa kama hujui mafanikio yana maana gani kwako.
Huwezi kufanikiwa kama huna misingi unayoisimamia mara zote.
Acha kuifanya safari ya mafanikio kuwa ngumu kwako kwa kufuata mkumbo na kutumiwa na wengine.
Jitambue wewe mwenyewe na uweze kufanya makubwa.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
