Hakuna kitu ambacho washindani wako wanacho ambacho wewe huwezi kuwa nacho.
Jua sifa zote ambazo ushindani unaweza kuwa nazo, kisha jijengee sifa hizo kwa ukubwa zaidi.
Utakuwa mshindani hatari zaidi na utaweza kuvuka yote kwenye safari yako ya mafanikio.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
