Mambo yanapokuwa rahisi, kila mtu anaonekana yupo vizuri.
Ni pale mambo yanapokuwa magumu ndiyo walio vizuri halisi wanaonekana, ambao ni wachache na wengi ambao hawapo vizuri wanadhihirika.
Kuwa vizuri kwa kuwa tayari kuyakabili magumu yote yanayokuja kwako na utafanikiwa sana.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
