Watu huwa hawafanyi kitu kama hakina manufaa binafsi kwao.
Kama unataka kuwashawishi watu wakubaliane na wewe, waonyeshe jinsi wanavyoenda kunufaika zaidi wao binafsi kwenye hicho unachowataka wafanye.
Na iwe ni kweli kwamba watanufaika, hapo watakuamini na kusambaza taarifa zako kwa watu wengine.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
