Unalima kwanza, halafu ndiyo unavuna.
Wakati wa kulima kazi inakuwa kubwa kuliko wakati wa kuvuna.
Lakini huwezi kufikia kwenye kuvuna, kama kwanza hukulima.
Kabla hujafanikiwa, unalazimika kufanya mambo makubwa na magumu.
Ukishafanikiwa, ya kufanya yanabadilika.
Usijichanganye ukaishia kujipoteza.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita