Kupenda unachofanya ili ufanikiwe ni ushauri wa kuwa na tahadhari nao sana.
Kwa sababu unachofanya kabla hujafanikiwa ni tofauti kabisa na unachokuja kufanya ukiwa umeshafanikiwa.

Mapenzi yako yanapaswa kuwa kwenye kuzalisha matokeo makubwa na ya tofauti kitu ambacho ndiyo kinakupa mafanikio makubwa.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita