Wengi hawapendi kukosolewa au kurekebishwa pale wanapokosea.

Wakosoe wale wanaowajibika kwako au wanaokulipa uwasaidie kupiga hatua.

Wengine achana nao, maana wanajua wanachofanya au hawajali sana.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita