Kama kukutana na changamoto kwenye kitu unachofanya kunapelekea ufikirie kuacha kitu hicho na kwenda kwenye kingine, huwezi kufanikiwa.

Kama unataka mafanikio makubwa, fanyia kazi kile ambacho una mapenzi makali na ya muda mrefu.
Ambacho utaendelea kukifanya licha ya kukutana na changamoto.

Uzuri tayari unacho kitu hicho, ni wewe tu ukifanyie kazi.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita