Kupenda unachofanya haimaanishi mafanikio yatakuwa rahisi kwako.
Bali inamaanisha utaweza kung’ang’ana kwa muda mrefu mpaka kupata unachotaka.
Fanya unachopenda au penda unachofanya ili ujiongezee uhakika wa kufanikiwa kupitia ufanyaji wa muda mrefu bila kuacha.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
