Utahangaika na mengi sana,
Lakini kama hutaweza kutekeleza yale unayowaahidi watu,
Hakuna mafanikio makubwa utakayoweza kuyajenga kwenye maisha yako.
Kuwa na nidhamu kali sana ya kutekeleza yote unayopanga na kuahidi.
Hata wasiokupenda, watakuheshimu kwa nidhamu yako kali.
Na hilo ndiyo unalohitaji ili kupata mafanikio makubwa unayoyataka.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
