Unapata unachotaka, kwa kuwapa wengine kile wanachotaka.
Ubinafsi hauna nafasi kwenye kupata mafanikio makubwa.
Usisubiri upewe ndiyo utoe, bali anza kutoa kisha utapata.
Usihofie watu kuchukua na wasikupe, kwani kuna ambao watakupa zaidi ya ulivyotoa.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita