Dawa ya mafanikio ya kukopa, pale unapokuwa umepata matokeo makubwa kuliko juhudi ulizoweka, ni kulipa gharama ambayo hukulipa.
Weka juhudi kubwa zaidi ya kazi, jitoe mhanga, nenda hatua ya ziada na utajiamini kwamba hata ukipoteza ulichonacho, unaweza kuanza upya na ukafanikiwa.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
