Ukitaka kitu hasa, lazima utafanya kila namna kukipata.
Ukiwa hutaki kitu hasa, utatafuta kila sababu za kukikosa.
Unaweza kujidanganya utakavyo, lakini kama hujafanikiwa, ukweli ni hujataka hasa kufanikiwa.
Taka kweli kufanikiwa na usikubali kukwamishwa na chochote.
Na utafanikiwa bila shaka.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
