Hakuna mtu ambaye ni rahisi wewe kumdanganya kama wewe mwenyewe.
Ndiyo maana licha ya kujua kila unachopaswa kufanya, bado hufanyi, kwa sababu umekuwa unajidanganya na kuamini uongo wako.
Kama unataka kufanya ili ufanikiwe, kuwa na mfumo ambao utakuwajibisha, ambao hautahadaika na kujifadanganya kwako.
FAMILIA YA KISIMA CHA MAARIFA ina mfumo huo, ni wewe tu kukubali kuwajibika na uweze kufanya makubwa sana.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
