Dawa ya hofu huwa ni kufanya hicho unachohofia.
Na ili uweze kufanya licha ya kuhofia, unapaswa kujipa uhakika fulani.
Unapokuwa unajua huwezi kushindwa kabisa, utaweza kufanya licha ya kuwa na hofu na hapo utafanikiwa kwa uhakika.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita