Ukishakuwa huna pesa, kazana sana usiwe na aibu.
Kuona aibu kufanya shughuli halali ya kukuingizia kipato kisa haiendani na hadhi yako ni kujididimiza kwenye umasikini zaidi.
Ukishakuwa huna pesa, kila shughuli halali ya kuingiza pesa ni ya hadhi yako.
Hakuna chochote kilicho na hadhi ya chini kwenye umasikini.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita