Udhaifu ambao kila mtu anao ni kutunza siri.

Mdomo ukinyamaza, matendo yanaonyesha.

Matendo yakiigizwa, historia inaweka wazi.

Kama kuna siri za watu hujazijua, siyo kwa sababu ni wazuri kwenye kuzificha, bali kwa sababu hujataka kuwasikiliza kile wanachokuambia.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita