Usisubiri fursa mpaka iwe inaonekana kama fursa, hapo unakuwa umeshachelewa.
Wewe fungua fursa kwenye matatizo ambayo wengine wanayo na hawajapata wa kuyatatua.
Tatua matatizo ambayo watu wanataka sana kuyatatua na utafungua fursa kubwa na nzuri kwako.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
