Kumekuwa na kampeni nyingi za fanya kazi kwa akili (work smart) na usifanye kazi kwa juhudi (don’t work hard).

Lakini akili na juhudi ni vitu ambavyo haviwezi kutenganishwa kwenye safari ya mafanikio.

Kampeni yako inapaswa kuwa; WORK SMART AND HARD. Tumia AKILI KUBWA na JITIHADA KUBWA pia.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita