Kama unasubiri watu wakupe ruhusa ya kufanikiwa, unajiandaa kutokufanikiwa.

Hao unaotaka wakupe ruhusa na wao wanasubiri wapewe ruhusa na watu ambao nao hawana ruhusa.

Kwenye haya maisha unapaswa kujipa ruhusa wewe mwenyewe kwenye kufanya chochote unachotaka kufanya.

Hiyo ndiyo njia pekee ya kufanya mambo makubwa na kufanikiwa.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita