
Rafiki Yangu, Watu Wengi Sana Wanataka Kufanikiwa.
Wengi Wanatamani Kufanikiwa.
Na Wengine Kila Siku Wanasema Wanataka Kufanikiwa.
Lakini Cha Ajabu Wachache Sana Ndio Wanaofanikiwa.
Hawa Wengi Wanaoshindwa Siyo Kwamba Hawana Akili Wala Bahati,
Bali Wanaishia Tu Kila Siku Kutamani na Kusema Wanataka Kufanikiwa,
Na Hivyo Kuishia Kushindwa,
Unaweza Ukawa Unajiuliza Kwani Hao Wachache Wanaofanikiwa Wana Nini Cha Ziada?
Ukweli ni Kwamba Hawa Wanaenda Hatua Ya Ziada Ya Kutamani na Kusema Tu,
Ambayo ni KUJITOA HASA KWENYE KILE WANACHOFANYA,
Na Hivyo Wanafanikiwa.
Umeona Utofauti Eeeh!
Anyway, Kama Bado Hujapata Nafasi Ya Kujiunga na Program Ya NGUVU YA BUKU.
Bonyeza Hapa 👇 Kupata Nafasi Yako.
Wahi Nafasi Yako Leo Kabla Dirisha La Usajili Halijafungwa.
Kwasababu Zimebaki Chache Sana.
Yote Ni 👉 Hapa https://wa.link/8ks1ee