Rafiki Yangu,

Njia Sahihi Ya Kukabiliana na Nyakati Ngumu na Nyakati Rahisi ni Kwenda Kinyume Nyume.

Mambo Yakiwa Rahisi Wewe Kuwa Mgumu.

Na Mambo Yakiwa Magumu Wewe Kuwa Mrahisi.

Ukweli ni Huu,

Mambo Yakiwa Rahisi Unabweteka na Hivyo Kupelekea Kuanguka.

Na Mambo Yakiwa Magumu Unataharuki, Unapaniki na Kupelekea Kuanguka.

Kulivuka Hili,

Pale Mambo Yanapokuwa Rahisi Weka Ugumu, Nenda Speed, Weka Kazi Zaidi.

Na Pale Mambo Yakiwa Magumu Punguza Speed Nenda Kirahisi Hatua Kwa Hatua Hili Uweze Kukabiliana na Ugumu Huo.

Rafiki Yote Haya Yapo Ndani Ya Uwezo Wako na Ukiweza Kuyafanyia Kazi Basi MAFANIKIO ni Uhakika Kwako.

Na Ikitokea Hujapata Kitabu Cha MTAALA WA UTAJIRI.

Na Bado Hujapata Nafasi Ya Kujiunga na Program Ya NGUVU YA BUKU.

Basi Bonyeza Hapa 👇 https://wa.link/rw01cd

Ni Hapa 👇 https://wa.link/rw01cd

Karibu.