
Ukinzani Unakuwa Mkali Sana Pale Unapotaka Kufanya Kitu Chenye Manufaa Kwako….
Rafiki Yangu Unaweza Kuamua Kufanya Kitu Cha Kijinga Kama Vile Kulewa Pombe na Watu Wakakusifia.
Lakini Ukisema Ufanye Kazi Kwa Juhudi Kubwa Sana,
Wataanza Kukusema Vibaya,
Utasikia Huyu Jamaa Anajidai Sana,
Mara Ooh Huyu Jamaa Anaringa Sana…
Kwahiyo Inaonekana ni Rahisi Sana Kufanya Mambo Ambayo ni Ya Kijinga Hata Kama ni Ya Hatari,
Kuliko Kufanya Mambo Ambayo Yana Manufaa Kwako.
KWA NINI?
*Kwasababu Ya Ukinzani uliondani Yako*…
Njia Sahihi Ya Kuvuka Huu Ukinzani Zingatia Mambo Haya Matano (5)…
1. Fanya Unachohofia.
2. Kuwa na Mtu/Watu Watakao Kuwajibisha.
3. Kuwa Na Ndoto Kubwa.
4. Kuwa na Kusudi Kubwa.
5. Fikiria Kuhusu Kifo.
Vizuri, Kama Bado Hujapata Kile Kitabu Kikubwa Cha Bluu Chenye Vitabu 50 Ndani Yake na Siri 50 Za MAFANIKIO.
Basi Wakati Wako ni Sasa,
Kuwa Wa Kwanza ni Hapa
Karibu.