
Ugumu Wa Maisha na Mafanikio Kwa Ujumla Upo Kwenye Vitu Hivi Viwili (2) Muhimu….
Rafiki Yangu ni Haki Yako Ya Msingi Kabisa Kufanikiwa.
Na Unaweza Kupata Mafanikio Makubwa Sana.
Lakini Kumbuka Ugumu Hauepukiki.
Kwasababu Kati Ya Watu 100 Wanaotaka Mafanikio,
1% Pekee Ndiyo Wanaopata Mafanikio Makubwa Sana,
4 % na 5% Mafanikio Ya Wastani,
Alafu 90% Waliobaki Hawapati MAFANIKIO Kabisa.
Kama Unavyoona Hapo Juu
Kati Ya 100 Kumi (10) Pekee Ndiyo Wanao Uwafadhali,
Yaanii,
1 Ni Juu Sana,
4 Ni Juu Lakini Siyo Sana,
5 Ni Wastani,
Alafu
90 Wote Waliobaki Chali.
Unaweza Ukawa Unajiuliza Kwani Huu Ugumu Wa MAFANIKIO Unatoka Wapi?
Akati Mitandao Imerahisisha Mambo,
Mawasiliano Yamekuwa Rahisi,
Na Vitu Vingi Vimekuwa Rahisi sana.
Lakini Ukweli ni Kwamba Ugumu Wa Mafanikio Haupo Kwenye Kile Unachofanya Bali Kwenye Muda na Kurudia Rudia.
Kwahiyo Ukitaka Kufanikiwa Sana Kwenye Kile Ulichochagua Kufanya Kifanye Kwa Muda Mrefu na Kwa Kukirudia Rudia.
Usikikinai Yaani Usikichoke Bali Kifurahie,
Na Ukiweza Kukifanya Kwa Zaidi Ya Miaka 5 Bila Kuacha Basi Utafanikiwa Sana.
Anyway, Kama Bado Hujapata Nafasi Ya Kujiunga na Program Ya NGUVU YA BUKU.
Basi Bonyeza Hapa 👇
Karibu.