
Rafiki Yangu Mpendwa,
Hizi ni Zile Amri 12 Ambazo Matajiri Wanaziishi Kila Siku,
Na Ambazo Zinawafanya Wazidi Kuwa Matajiri,
Kila Ukiziangalia Unaziona Zipo Kwa Kila Mtu,
Kila Moja Wetu Anaweza Kuziishi,
Hazitegemei Umri Wako, Jinsia Yako, Kabila Lako, Unafedha Kiasi Gani.
Hazitegemei Chochote Zaidi ya Wewe Kuamua Kwamba Ninataka Kufanikiwa,
Ninataka Kuyabadilisha Maisha Yangu na Hivi Ndivyo Nitakavyoishi Maisha Yangu Yote…
Hizi Hapa 👇
- Toa Thamani Kwanza.
- Kujitambua Kazana Kujua uimara Wako.
- Kuwa Bosi Wako.
- Kuwa na Matamanio Makubwa Sana.
- Amka Mapema na Anza Siku Yako Mapema.
- Kuwa Mtekelezaji.
- Kubali Kushindwa Ili Kufanikiwa
- Amini Mafanikio ni Popote.
- Kuwa Na Maadili Kuwa Na Misingi Ya Maadili.
- Penda Mauzo.
- Penda Kujifunza Kutoka Kwa Wengine.
- Kamwe Usistaafu.
Ooh, Kidogo Nisahau Kitu…
Rafiki Yangu Mpendwa, Kama Unataka Kujua Zaidi Kuhusu SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
Karibu Kwa Kubonyeza Hapa 👇
https://wa.link/24jg6q
Ni Hapa 👉 https://wa.link/24jg6q
Kumbuka; Zimebaki Nafasi Chache Sana.
Karibu Sana.