Hadithi Za Mafanikio

Rafiki Yangu,

Hadithi Za Mafanikio ni Nzuri,

Zinasisimua,

Zinaelimisha,

… na

Zinahamasisha.

Watu Wengi Wanapenda Kuhadithia Mafanikio Yao.

Lakini Maisha Wanayoyaishi Sasa Baada Ya Kufanikiwa ni Tofauti Sana.

Na Maisha Waliyoyaishi Kabla Hawajafanikiwa.

Sasa Ukitaka Kujua Ukweli Wa Mambo Ili Ujifunze,

Waambie Wakusimulie Maisha Waliyoyaishi Kabla Hawajafanikiwa.

Ukweli Yatakushangaza Sana….

Na Utakuja Kugundua Kwamba Mambo Waliyokuwa Wanayafanya Kabla Hawajafanikiwa ni Tofauti Sana,

Na Mambo Ambayo Wanayafanya Sasa.

Utakuta Walipitia Msoto Sana,

Walinyanyasika Sana,

Walidharaulika Sana,

Walikuwa Wanafanya Kazi Sana,

Walikuwa Wakijisukuma Sana,

Walijituma Sana.

Kabla Hawajafanikiwa.

Ooh right Kama Bado Hujapata Kitabu Kipya Cha USIMAMIZI WA FEDHA BINAFSI.

Ungana Na Wajanja Wenzako Hapa

👇

https://wa.link/ytdxbo

Karibu 👉https://wa.link/ytdxbo