*Kufanikiwa; Kuchukua Hatua Hizi 2*…

Rafiki Yangu Mpendwa,

Kinachokuzuia Usifanikiwe Licha Ya Kujua Mambo Mengi Sana ni Huchukui Hatua,

Kufanyia Kazi Yale Yote Uliyojifunza Imekuwa ni Kitu Kigumu Sana Kwako.

Na Wala Hata Sikulaumu Kwasababu Sio Makosa Yako Kabisa,

Bali Makosa Yapo Kwenye Imani na Umakini Wako.

Mara Nyingi Huchukui Hatua Kwasababu Hujiamini Unaona Bado Hujawa Tayari Na Hivyo Unaghairisha.

Na Hauchukui Hatua Kwasababu Umekosa Umakini na Umetawanya Rasilimali Zako.

Kuvuka Vikwazo Hivi Viwili (2) Jiamini Ndani Yako Mwenyewe, Amini Unaweza, Usiogope Kushindwa.

Kwasababu Hata Ukishindwa Utarekebisha,

Kuliko Kutokufanya Kabisa, Na Ndio Maana Kuna Tofauti Kubwa Sana Kati Ya Yule Anayeghairisha Kufanya,

Na Yule Anayefanya, Huyu Anayeendelea Kufanya Hata Kama Atashindwa ni Rahisi Sana Kurekebisha na Kuboresha Zaidi Kuliko Yule Anayeghairisha Kufanya.

Mwisho Weka Umakini Wako Wote Kwenye Kile Unachofanya. Kwa Kusema HAPANA Kwenye Yale Yote Ambayo Hayana Maana Kwako.

Kitu Kimoja Zaidi Kama Bado Hujapata Ofa Ya Kitabu Kipya Cha *USIMAMIZI WA FEDHA BINAFSI*.

Ungana Na Wajanja Wenzako Hapa 👇

*https://wa.link/ytdxbo*