
Rafiki Yangu Mpendwa,
Kudhibiti Matumizi Limekuwa ni Jambo Gumu Sana Kwa Wengi.
Kwasababu Inakuhitaji Ujitoe Hasa Kujijenga Nidhamu Kali na Tabia Kuhakikisha Kwamba Unaishi Chini Ya Kipato Chako.
Ni Kama Bahati Kwako, October 27 Unaenda Kujifunza Haya Kwa Vitendo .
Hiyo ni Siku ya Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024 itakayofanyika DSM Mbezi Garden Hotel.
Kwa Kiingilio Cha Tshs 64,999 Tu! Ukilipia Kabla Ya October 1 na Tshs 99,999 Tu! Kama Utailipa Baada Ya October 1, Utatoka na Mpango Kamili Wa Kudhibiti Matumizi Yako Huku Ukiongeza Kipato Chako.
Bonyeza Hapa 👉 *https://wa.link/7xpijv*. Ukapindue Meza.
Karibu Urudishe TABASAMU Lako.