Kataa Maisha Magumu, Ruka na Huyu

…Baadhi Ya Watu Wanaishi Maisha Magumu Sana, Nasio Kwasababu Hawana PESA,

Bali Wana Matumizi Makubwa Sana Kuliko PESA Wanazoingiza Kwa Siku, Kwa Wiki, Kwa Mwezi, Kwa Mwaka.

Kwahiyo Inawapelekea Kuingia Kwenye Madeni Mabaya.

Kwa Mfano Unakuta Mtu Anatumia Kwa Siku Tshs 7,000, Lakini Anachoingiza ni Elfu 5 Kwa Siku.

Uhakika ni Kwamba Huyu Itamlazimu Akope Tshs 2000 Ili Akidhi Mahitaji Yake. Unajionea Mwenyewe Anavyojisulubu.

Shtuka! Hayo Siyo Maisha ni Maonyesho.

Karibu Upate Njia Rahisi Ya Kudhibiti Matumizi Yako Ambayo Utaipata Ukurasa Wa 82 WA Kitabu Hiki Kipya Cha *USIMAMIZI WA FEDHA BINAFSI*.

Kukipata Kabla Bei Haijachangamka, Ungana Na Wajanja Wenzako Hapa *https://wa.link/ytdxbo*.

Karibu Urudishe TABASAMU Lako.