Sekunde Chache Zijazo Unaenda Kuiona Biashara Yenye Mteja Mmoja.

Biashara Hiyo ni Ipi?

Biashara Hiyo ni Ajira.

Ajira ni Nini?

Ajira ni njia ya kuingiza kipato kwa kuuza muda wako, ujuzi wako na nguvu zako kwa mtu mwingine.

Mtu huyo anatumia rasilimali hizo kuzalisha thamani kwa watu wengine.

Ajira ni biashara ambayo unakuwa na mteja mmoja anayenunua kile unachouza.

Kama unatumia ajira kama njia yako kuu ya kuingiza kipato kikubwa, cha uhakika na kinachokua, unapaswa kuzingatia mambo muhimu unayokwenda kujifunza hapa.

Kwenye *SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024*
utakwenda kujifunza misingi 10 ya kuzingatia ili kuingiza kipato kikubwa kitakachokuwezesha kuwa na uhuru wa Kwenye *SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024*.

utakwenda kujifunza misingi 10 ya kuzingatia ili kuingiza kipato kikubwa kitakachokuwezesha kuwa na uhuru wa kifedha.

Bonyeza hapa 👉 *https://wa.link/7xpijv* kupata nafasi ya kushiriki kwenye semina hii itakayofanyika *Mbezi Garden Hotel Dar es salaam tarehe 27/10/2024*.

Karibu sana.