Rafiki Yangu Mpendwa,
Kuna Nguzo Fupi na Ndefu.
Lakini Inapokuja Kwenye Fedha na USIMAMIZI BINAFSI WA FEDHA, Zipo Nguzo 7 Muhimu.
Na Habari Mbaya Zaidi ni Kwamba Nguzo Ya 3 Ndiyo Yenye Changamoto Kubwa Kuliko Nyingine Zote.
Hiyo ni Kwasababu Nguzo Hii Imekuwa Inameza Nguzo Nyingine Zote.
Hii ni sawa na Mtu Apike Kwenye Jiko Lenye Figa Moja Refu Kuliko Mafiga Mengine Mawili (2), Chungu Hakiwezi Kukaa Vizuri.
Hivyo Ndivyo Hali ya Kifedha ya Wengi Inavyokosa Ustahimilivu, Kwa Sababu Nguzo Ya Matumizi ni Ndefu Kuliko Nguzo Nyingine. Kwahiyo Kaa nayo Kwa Akili.
Ni Kama Bahati Kwako, https://wa.link/7xpijv Tarehe 27/10 Kwenye Semina Ya KISIMA CHA MAARIFA, Unapata Bahati ya Kwenda Kujifunza Namna Bora ya Kupangilia Matumizi Yako, Kuwa na Bajeti na Kudhibiti Matumizi Yako Ili Uweze Kujenga Nguzo Zote Kuwa Imara.

Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.
Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifatavyo;
- KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.
- AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.
- MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.
- MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.
- MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.
- UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.
- ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha
Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.
Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.
Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.
Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.
Kwa Mfano Ukibonyeza Hapa https://wa.link/7xpijv Utapata Utaratibu Mzima Wa Kushiriki Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024.
Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
Karibu. 👉 https://wa.link/7xpijv