Rafiki Yangu Mpendwa,

Umeshawahi kufikiria namna kipato chako kidogo kinavyokukwamisha kufikia malengo yako?

Ukweli ni kwamba, kuna njia nyingi za kuongeza kipato, lakini sio kila mtu anajua wapi pa kuanzia.

Kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA https://wa.link/7xpijv utajifunza mbinu sahihi Ambazo zitaboresha hali yako ya kifedha. Kwa gharama ndogo, utapata maarifa sahihi na mbinu zinazokuwezesha kubadilisha hali yako.

Huu ni wakati wako! Usikubali kipato kidogo kikuangushe. Jiunge sasa! Uwe na uhakika wa kuboresha kipato chako na kufikia malengo yako.

https://wa.link/7xpijv]

Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.

Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifatavyo;

  1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.
  2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.
  3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.
  4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.
  5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.
  6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.
  7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha

Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.

Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.

Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.

Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.

Kwa Mfano Ukibonyeza Hapa https://wa.link/7xpijv Utapata Utaratibu Mzima Wa Kushiriki Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024.

Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Karibu. 👉 https://wa.link/7xpijv