
Rafiki Yangu Mpendwa,
Unataka kubadili maisha yako ya kifedha, lakini hujui wapi pa kuanzia?
Pengine umekuwa ukijitahidi kuweka akiba, kulipa madeni, au kuwekeza, lakini mambo hayaendi kama ulivyotarajia.
Usiwe na wasiwasi, uko sehemu salama!
Semina ya Kisima cha Maarifa 2024 itakusaidia kupata mwongozo wa kufanikisha malengo yako ya kifedha.
Kwa Nini Usimamizi wa Fedha Binafsi ni Muhimu?
Katika ulimwengu wa leo, pesa inaweza kuwa chanzo cha furaha au mafadhaiko, kulingana na jinsi unavyozisimamia.
Watu wengi wanajikuta wakifanya kazi kwa bidii, lakini bado wanashindwa kufikia malengo yao ya kifedha.
Semina hii imeundwa kukupa maarifa na mikakati ya jinsi ya kuweka fedha zako kwenye mstari unaoelekea mafanikio.

Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.
Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifatavyo;
- KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.
- AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.
- MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.
- MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.
- MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.
- UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.
- ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha
Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.
Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.
Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.
Kwa Mfano Ukibonyeza Hapa https://wa.link/7xpijv Utapata Utaratibu Mzima Wa Kushiriki Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024.
Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
Karibu. 👉 https://wa.link/7xpijv