Rafiki,

Wakati mwaka 2024 unaelekea ukingoni.

Ni rahisi kuona mwaka umeshaisha na yale uliyopanga hayawezekani tena.

Huenda unasubiri mwaka 2025  ndiyo ujaribu tena bahati yako.

Niko hapa kukuambia kitu kimoja rahifi yangu, 2024 bado haijaisha.

Bado una fursa ya kufanya makubwa sana kwenye kipindi kilichobaki kwenye huu mwaka.

Na moja ya vitu unavyoweza kufanya na vikaleta mapinduzi makubwa ni kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Kufanya hivyo kunaenda kuufanya mwaka 2024 kuwa kama ndiyo unaanza kwako.

Utaenda kuuanza mwaka 2025 mapema kabla ya muda na kuweza kufanya makubwa.

Tunakutaka tarehe 27/10/2024 Mbezi Garden Hotel DSM.
Chukua hatua sasa ya kuthibitisha kushiriki semina hii kwa kuwasiliana na namba 0752 977 175.

Una fursa ya kuufanya mwaka 2024 kuwa wa kipekee kwako kama utashiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA.

Usipange kukosa, wasiliana sasa na 0752 977 175.



Karibu Kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.

Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifuatavyo;

1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.

2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.

3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.

4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.

5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.

6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.

7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha

Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.

Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.

Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.

Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.

Kushiriki piga simu au tuma ujumbe wa kawaida au kwa wasap kwenda namba 0752977175 wenye maneno SEMINA 2024 na utapewa utaratibu mzima na nafasi ya kushiriki.

Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kufanya uwekezaji bora kabisa kwako, utakaoacha alama kubwa kifedha kwako.

Kutoka kwa rafiki yako anayekupenda na kukujali sana,

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

Daktari |Mwandishi |Kocha |Mkufunzi