Rafiki Yangu Mpendwa,

Ungependa kuanzisha mradi wa kifedha, lakini hujui jinsi ya kuanza au wapi pa kupata mtaji?

Je, unalo wazo la biashara, lakini unakosa ujuzi wa jinsi ya kuanzisha na kuendesha mradi huo kwa mafanikio?

Kutokuwa na mpango sahihi wa kifedha na kutokujua jinsi ya kuanza kutakuzuia kufanikisha ndoto zako za kuwa Mjasiriamali…

SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 Itakufundisha Hatua Kwa Hatua Jinsi Ya Kuanzisha na Kusimamia Mradi Wako Wa Kifedha Kwa Mafanikio.

Jiunge Leo na Pata Mwongozo Kamili Wa Jinsi Ya Kuanzisha Biashara Yako Leo.

Tafadhali! Ni Hapa 👇https://wa.link/7xpijv

Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.
Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifatavyo;

  1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.
  2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.
  3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.
  4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.
  5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.
  6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.
  7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha

Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.
Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.

Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.

Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.

Kwa Mfano Ukibonyeza Hapa https://wa.link/7xpijv Utapata Utaratibu Mzima Wa Kushiriki Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024.

Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
Karibu. 👉 https://wa.link/7xpijv