Rafiki Yangu Mpendwa,

Ukweli ni kwamba kipato chako kinategemea mshahara pekee, huku gharama za maisha zikiendelea kupanda ..

Je, huogopi hali ya kutegemea mshahara wa mwisho wa mwezi bila chanzo kingine cha kipato?

Kutegemea mshahara peke yake ni hatari sana, hasa katika uchumi wa sasa usio na uhakika.

Kwenye*SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024* Utafundishwa Jinsi Ya Kuanzisha Vyanzo Vipya Vya Mapato, Ili Kufikia UHURU WA KIFEDHA.

Jiandikishe Leo Hapa 👇*https://wa.link/7xpijv* Ili Usikose Fursa Ya Kujenga Vyanzo Vingi Vya Mapato.

Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.

Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifuatavyo;

1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.

2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.

3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.

4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.

5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.

6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.

7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha.

Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.

Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.

Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.

*Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.

*Kwa Mfano Ukibonyeza Hapa *https://wa.link/7xpijv* Utapata Utaratibu Mzima Wa Kushiriki Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024.

Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Karibu. 👉 *https://wa.link/7xpijv*