Rafiki Yangu Mpendwa Sote tunafanya makosa katika safari yetu ya kifedha.

Lakini unachofanya baada ya makosa hayo ndicho kinachoamua mafanikio yako ya baadaye.

Kwenye Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024,
Tutakufundisha jinsi ya kutumia makosa yako kama daraja la kufikia mafanikio.

Hii ni nafasi ya kujifunza jinsi ya kugeuza makosa yako kuwa masomo ya thamani.

Tutakusaidia kuelewa wapi uliteleza na namna bora ya kuepuka kurudia makosa hayo tena.

Makosa yako ya kifedha hayatakuwa mzigo tena; yatakuwa ni fursa ya kujifunza na kuboresha mikakati yako ya kifedha.

Badala ya kujilaumu kwa yaliyopita, jiunge nasi https://wa.link/7xpijvna ujifunze jinsi ya kuyarudisha mambo kwenye mstari.

Makosa si mwisho – ni mwanzo wa safari mpya ya mafanikio.

Jiunge na semina yetu leo na badilisha makosa yako kuwa mafanikio.

Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.
Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifatavyo;

  1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.
  2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.
  3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.
  4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.
  5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.
  6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.
  7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha

Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.
Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.

Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.

Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.

Kwa Mfano Ukibonyeza Hapa https://wa.link/7xpijv Utapata Utaratibu Mzima Wa Kushiriki Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024.
Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
Karibu. 👉 https://wa.link/7xpijv