Rafiki Yangu Mpendwa,

Inawezekana Sasa unahisi kwamba huoni matokeo unayoyataka katika juhudi zako za kifedha, lakini ukweli ni kwamba,

…unayakaribia mafanikio zaidi kuliko ya unavyofikiria.

Kwenye Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024, tunakusaidia kuendeleza juhudi zako na kuuhimiza moyo wako ili uendelee kupambana zaidi.

Unachohitaji sasa si kuacha, bali ni kupata mbinu na maarifa sahihi ya kukupeleka ngazi ya juu.

Mafanikio yako ya kifedha yapo karibu, na semina yetu itakupa maarifa ya jinsi ya kuyafikia haraka na kwa ufanisi zaidi.

Hatuwezi kuruhusu ushindwe wakati unakaribia kufanikiwa.

Jiunge nasi https://wa.link/7xpijv, pata mbinu zinazothibitishwa, na uendelee na safari yako ya kifedha hadi pale utakapovuka mipaka ya mafanikio yako.

Usikate tamaa – Jiunge nasi leo na uanze kuona matokeo chanya.

Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.
Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifatavyo;

  1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.
  2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.
  3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.
  4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.
  5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.
  6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.
  7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha

Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.
Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.

Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.

Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.

Kwa Mfano Ukibonyeza Hapa https://wa.link/7xpijv Utapata Utaratibu Mzima Wa Kushiriki Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024.


Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
Karibu. 👉 https://wa.link/7xpijv