Rafiki Yangu Mpendwa,
Umekuwa ukipambana kupata pesa za kutosha kwa muda mrefu, lakini matokeo yanaendelea kuwa yale yale—mapato ni kidogo, na maisha yanazidi kuwa magumu.
Je, unahisi kukata tamaa unapofikiria jinsi watu wengine wanavyofanikiwa kifedha wakati wewe unaendelea kushindwa?
Kufanya kazi kwa bidii pekee haitoshi, na njia unazotumia sasa hazitakuletea matokeo tofauti.

Kwenye Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024 inajifunza mbinu za kisasa za kupata pesa zaidi na kuzitunza ili kuzalisha utajiri kwa muda mrefu.
Jiunge na Semina Yetu Leo na Uanze Safari Yako ya Kifedha Yenye Mafanikio!
Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.
Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifatavyo;
- KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.
- AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.
- MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.
- MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.
- MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.
- UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.
- ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha
Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.
Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.
Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.
Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.
Kwa Mfano Ukibonyeza Hapa https://wa.link/7xpijv Utapata Utaratibu Mzima Wa Kushiriki Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024.
Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
Karibu. 👉 https://wa.link/7xpijv