Rafiki Yangu Mpendwa,

Matumizi yako ya kila siku yanaonekana kuwa ya kawaida, lakini yanakuathiri kifedha.

Je, unajikuta ukitumia zaidi ya unavyopata, na kushindwa kuwekeza au kuweka akiba kwaajili ya siku zijazo?

Kuendelea kutumia pesa kiholela bila mpango ni chanzo cha matatizo ya kifedha.

Kwenye Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024, Itakufundisha Jinsi Ya Kudhibiti Matumizi Yako na Kuwekeza Kwa Faida.

Jiandikishe Leo na Jifunze Mbinu Za Kuboresha Matumizi Yako. Karibu 👉 https://wa.link/7xpijv

Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.
Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifatavyo;

1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.
2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.
3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.
4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.
5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.
6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.
7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha

Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.
Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.

Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.

Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.

Kwa Mfano Ukibonyeza Hapa https://wa.link/7xpijv Utapata Utaratibu Mzima Wa Kushiriki Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024.
Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
Karibu. 👉 https://wa.link/7xpijv