Rafiki Yangu Mpendwa,
Kutengeneza chanzo cha pili cha Kipato inaonekana ni jambo gumu Sana.
Je, unaishi na hofu kwamba kipato chako cha sasa kinaweza kupotea, ukibaki bila njia ya kujikimu?

Kuendelea kutegemea chanzo kimoja cha mapato ni hatari sana, hasa katika hali ya uchumi isiyotairika.
Kwenye Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024, itakupa ujuzi wa kuzalisha vyanzo vipya vya mapato na kuwekeza kwa busara ili uongeze utajiri wako.
Jiunge na Semina Hii Sasa na Ujifunze Jinsi Ya Kuzalisha Pesa Zaidi Kwa Njia Nyingi.
Karibu 👉 https://wa.link/7xpijv
Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.
Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifatavyo;
1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.
2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.
3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.
4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.
5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.
6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.
7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha
Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.
Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.
Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.
Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.
Kwa Mfano Ukibonyeza Hapa https://wa.link/7xpijv Utapata Utaratibu Mzima Wa Kushiriki Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024.
Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
Karibu. 👉 https://wa.link/7xpijv