Lily alijua kuwa anaweza kufikia malengo yake, lakini kipato chake kilikuwa kidogo.
Alijisikia vibaya sana na kuona kama anapitwa na fursa, Huku akiendelea kuhuzunika kwa kukosa msaada wa kifedha.
Wengi walimkatisha tamaa huku wakimwambia hatoweza kutimiza ndoto zake. lakini Lily alikuwa ana amini kwamba kuna njia za kuongeza kipato chake, uenda bado hajazijua na kuzitumia.

Ni kama bahati kwake mwaka huu (2024) kujiunga na Kisima Cha Maarifa. Ndipo akapata fursa ya kujifunza jinsi ya kuongeza kipato chake kupitia miradi ya uwekezaji Tanzania.
Sasa, Lily anafurahia maisha na ana uwezo wa kuwekeza na kuunda kipato cha ziada.
Hakika Yeye ni mfano wa mafanikio kwa wengine.
Jiandikishe Leo https://wa.link/7xpijv Kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 ili ujifunze jinsi ya kuongeza kipato chako na kufikia malengo yako makubwa!
Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.
Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifatavyo;
- KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.
- AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.
- MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.
- MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.
- MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.
- UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.
- ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha
Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.
Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.
Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.
Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.
Kwa Mfano Ukibonyeza Hapa https://wa.link/7xpijv Utapata Utaratibu Mzima Wa Kushiriki Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024.
Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
Karibu. 👉 https://wa.link/7xpijv