Rafiki Yangu Mpendwa,

Hapo Nyuma, Nadia alihisi kuwa kazi yake haimpatii kipato kizuri ambacho kinamletea maendeleo kwenye maisha yake. Hali hiyo ilimuumiza Sana.

Kila mara alihisi kuwa anazidi kuwa nyuma wakati wengine wakiongeza vipato vyao na kufikia malengo yao.

Wengi walimfariji na kumwambia kuwa hiyo ndiyo hali ya maisha, lakini Nadia alijua kuwa anao uwezo wa kubadili hali yake.

Ni kama ngekewa kwake kukutana na Jamii Ya Kisima Cha Maarifa 2024 na Kujifunza Jinsi Ya Kuongeza Kipato Kupitia Miradi Ya Ziada.

Sasahivi Hapa Tunapozungumza, Nadia ana kipato kinachoongezeka na maisha yake yameimarika sana. Jiunge Leo Kwenye Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024, Ili Uanze Kupiga Hatua Kwenye Maisha Yako! Kama Nadia.

Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.
Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifatavyo;

  1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.
  2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.
  3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.
  4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.
  5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.
  6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.
  7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha

Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.
Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.

Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.

Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.

Kwa Mfano Ukibonyeza Hapa https://wa.link/7xpijv Utapata Utaratibu Mzima Wa Kushiriki Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024.

Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Karibu. 👉 https://wa.link/7xpijv