Rafiki alikuwa na biashara nzuri, lakini matumizi yasiyopangiliwa yalikuwa yakimeza Faida Yote.
Hakuweza kufanya uwekezaji wowote mpya, na biashara ilianza kuyumba.
Kila mara alipohitaji mtaji wa kuendeleza biashara, alijikuta hana pesa za kutosha.
Alianza kuogopa kuwa biashara inaweza kufa kwa sababu ya matumizi yake yasiyodhibitiwa.

Wafanyabiashara wenzake walimwambia kuwa ni kawaida kwa biashara kupitia kwenye changamoto, lakini Rafiki alihisi kuwa hakufanya juhudi za kutosha Kutatua hali hiyo.
Ni baada ya kujiunga na Kisima Cha Maarifa 2024, Ndipo Rafiki akapata ujuzi wa kudhibiti fedha zake na kufanya uwekezaji wa kimkakati. Biashara yake sasa inakua kwa kasi.
Usikubali Biashara Yako Ianguke Kwa Sababu Ya Matumizi Yasiyodhibitiwa.
Jiandikishe Leo https://wa.link/7xpijv Kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024, Ili Ujue Jinsi Ya Kuongeza Faida Na Kufanya Uwekezaji Sahihi.
Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.
Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifatavyo;
- KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.
- AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.
- MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.
- MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.
- MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.
- UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.
- ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha
Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.
Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.
Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.
Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.
Kwa Mfano Ukibonyeza Hapa https://wa.link/7xpijv Utapata Utaratibu Mzima Wa Kushiriki Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024.
Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
Karibu. 👉 https://wa.link/7xpijv