Rafiki Yangu Mpendwa,

Tangu Mwaka Juzi, Kagoma alikuwa na wazo Bora sana la biashara ambalo alidhani lingebadilisha maisha yake Mazima, lakini alikosa ujasiri wa kulifanyia kazi.

Aisee alijisikia vibaya sana, pale siku zilipokuwa zinaenda huku akishindwa kulifanyia kazi wazo lake,

Mbaya zaidi kila mara alihisi wazo lake litachukuliwa na Washindani wake, aliendelea kuwa mnyonge kwa kutokuchukua hatua.

Kingine ni Kwamba, Ndugu na Jamaa zake walikuwa wakimshauri na kumwambia kuwa hatoweza kuanzisha biashara na ikafanikiwa, lakini Kagoma alijua kuwa alihitaji maarifa zaidi.

Mambo yalianza kubadilika mpaka pale alipofanikiwa kujiunga na Jamii Ya Kisima Cha Maarifa 2024,

Ndipo ambapo alijifunza jinsi ya kuboresha mawazo yake na kutafuta rasilimali zinazohitajika.

Leo Hii, Kagoma ana biashara inayoenda vizuri na anahamasisha wengine.

Jiandikishe Leo Kwenye Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024, Ili Uanzishe Biashara Ya Ndoto Zako! https://wa.link/7xpijv

Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.
Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifatavyo;

  1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.
  2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.
  3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.
  4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.
  5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.
  6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.
  7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha

Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.
Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.

Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.

Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.

Kwa Mfano Ukibonyeza Hapa https://wa.link/7xpijv Utapata Utaratibu Mzima Wa Kushiriki Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024.


Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
Karibu. 👉 https://wa.link/7xpijv