Mpendwa,
Hapo mwanzo Juma alijaribu kuwekeza fedha zake kwenye hisa, lakini alikosa maarifa sahihi ya Uwekezaji na ikapelekea apoteze fedha zake..

Na mwishowe akakata tamaa Kabisa na kuhisi kwamba hatoweza kufanikiwa tena kifedha.

Alijisikia vibaya sana na hofu ilizidi kumwandama.

Na watu wake wa karibu waliendelea kumkatisha tamaa na kumwambia kwamba hatoweza kutimiza malengo yake ya kifedha kwa Kuwekeza.

Na alihuzunika sana, Lakini Juma alijua kuwa kuna njia sahihi za uwekezaji ambazo bado hajazijua.

Kwahiyo alirudisha tabasamu lake, pale alipojiunga na Jamii Ya Tofauti Ya Kisima Cha Maarifa,

…kwasababu alijifunza njia sahihi za Uwekezaji na jinsi ya kufanya maamuzi sahihi kwenye uwekezaji.

Sasa, Juma ana uwekezaji unaomletea faida kubwa.

Hujachelewa Na Wewe Leo Unapata Nafasi Ya Kuungana na Juma Kwenye Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024,

ili uanze kujifunza kuhusu uwekezaji! Na Ufanikiwe Kupitia Fursa Za Uwekezaji Tanzania.

Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.
Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifatavyo;

  1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.
  2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.
  3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.
  4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.
  5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.
  6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.
  7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha

Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.
Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.

Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.

Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.

Kwa Mfano Ukibonyeza Hapa https://wa.link/7xpijv Utapata Utaratibu Mzima Wa Kushiriki Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024.
Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
Karibu. 👉 https://wa.link/7xpijv